Friday, September 10

Renee & RonneyNaitwa Rachael ningepende kuwapongeza wanangu wawili Renee ambaye ni mkubwa na wa kike akiwa pamoja na mdogo wake Ronney ambaye ni wa kiume.  Mungu awazidishie maisha marefu yenye baraka na upendo kwa watu wote bila kuchagua rika wala kabila just to inform them " really love and care fore them"
 
Loving Mum
Rachael

No comments: