Sunday, September 12

Happy belated birthday Lisa


Mdau Lisa alitimiza miaka mitano (5) tarehe 22/8/2010.

Hivi ndivyo pati yake ilivyonogaaaa...mam'tu Evodia Wilson (huyo mwenye simu kwa nyuma) anasema 'Ni mtoto wangu wa kwanza na wapekee niliyenae NAMPENDA SANA LISA WANGU.
 
 Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Khloe maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

1 comment:

florah said...

Wao HAPPY BIRTH DATE Lisa my mkweeeeeeeeeee umependeza sana , MUNGU akujalie maisha marefu yenye baraka tele na mafanikio uwe mkubwa sana sana tena sana jamani UPENDE SHULE ndio kila kitu mtoto mzuri Mwaaaaaaa
Mama Mario