Monday, September 13

Happy birthday Faith

Leo mdau Faith Joshua Sallu anatimiza anatimiza miaka miwili (2).

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Faith maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

1 comment:

Anonymous said...

MUNGU AKUZIDISHIE MWANANGU UZIDI KUKUA KATIKA KRISTO NA MAISHA YAKO TAWE NA BARAKA TELE MIMI MAMA YAKO JOYCE SALLU