Sunday, September 26

Happy belated birthday Shadya


Mdau Shadya Jerome akiwa na mama yake siku alipotimiza miaka miwili ya kuzaliwa kwake katika hafla iliyofanyika nyumbani kwa mama yake Kawe jijini Dar es Salaam siku ya April 7 mwaka huu.

Ba'mtu Jerome Risasi anasema; "Namwomba Mungu amuoongezee miaka hiyo mara 30!!"

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Shadya maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

No comments: