Friday, September 24

Happy birthday Nasri

 
Leo mdau Nasri Charunga anatimiza anatimiza miaka miwili (2).

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Nasri maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

No comments: