Monday, September 27

Kampeni zimenogaaaaa

Kampeni zinazidi kunoga kadri tunapokaribia October 31, hamna anayeachwa, hadi wadau wanashirikishwa...ingawa sidhani kama wanaelewa kinachoendela na kwa uhakika hawatapiga kura...ila huyu yuko siriaz, hadi kifua wazi, si mchezo!

No comments: