Thursday, October 7

Happy birthday Henry

Leo mdau Henry George anatimiza anatimiza miaka minne (4).

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Henry maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

No comments: