Friday, October 8

Happy birthday Esther

Leo mdau Esther Secelela anatimiza anatimiza miaka kumi na tano (15).

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Esther maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

No comments: