Friday, October 8

Happy birthday Janice

Leo mdau Janice Momba anatimiza anatimiza miaka mitatu (3).

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Janice maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

No comments: