Tuesday, November 30

Am back, am back, am back!

Kwa miezi mitatu, tangu September 2, nilikua Sauzi...nimerudi janaaaaa...Nilimiss home si mchezooooo....

Katika vitu vyooooote nilimiss ubishi, ujanja, utundu na on top of all style fulani hivi ya kulia ya Xchyler aka X aka Kaila...

Thanks to Shikchi (Six -- Kaila anachakachua kila jina), Anko Alipo, Anti Bianca, Anti Dida na Anko Pascal kwa kunitumia picha za malaika wangu mara kwa mara...zilinipa company saaaaana.

On top of all, namshukuru sana Bibi na Babu X kwa kunitunzia malaika wangu kwa muda huo wooote...pia namshukuru ba'mtu, Shikchi, kwa kubana muda wake na kunipa company angalau kwa wiki mbili za mwisho... sasa kusafiri muda mrefu mimi basiiiii, nammiss sana mwanangu, sijui wenzetu mnaokaaga miaka miwili au zaidi huwa mnaishije, maana mi miezi mitatu tu kidogo niache kazi ya watu!

3 comments:

Mfalme Mrope said...

Karibu we! karibuuu saana. Tulikumiss big time na hasa besdei ya shangazi yako Naima. Sasa ana mwaka mmoja na mwezi!!! Nitakutumia picha na salamu!!

mama wawili said...

hongera mwaya ila usinitamanishe mie nirudi maaana nishawamiss wanangu tayari na nina mwaka mbele yangu mpaka niwaone tena
mpe hi mkwee x

Anonymous said...

its difficult express how we feel away from kids for 2 years lakini ndio tunataka shule watoto wetu wapate maisha mazur