Friday, December 3

Wadau wa Soweto

Wadau hawa niliwabamba huko Soweto...wanacheza opposite na nyumba ya zamani ya Mandela...watalii wanaweka hela kwenye kisaani, basi watoto nao wanatengeneza hela...hii ilikua Jumamosi, sidhani kama huwa wanafanya kazi hii siku za shule...Mandela House
 ...kwa wale waliokua wanaiulizia, hii ndio Mandela House, sikupiga picha ya nyumba nzima kwa mbali, as nilizopiga zilikua ni picha for personal use...

No comments: