Sunday, December 5

Happy birthday Junior

Leo mdau Junior Ally, siku hizi anaitwa Newton, anatimiza anatimiza miaka mitano (5).
Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Newton maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

No comments: