Monday, December 6

Likizo time...

Likizo time inaanza rasmi leo...kwa wengine bado, ila najua government schools nyingi zimefunga Ijumaa iliyopita, hata Xchyler amefunga Ijumaa...
On top of that, kama wazazi wa wanafunzi wengine nimepokea ripoti ya shule ya kwanza ya Kaila...ambapo pamoja na mengine meengi, imeandikwa kwamba Xchyler is a pleasent boy...wazazi wake we are very proud of him...ripoti hii lazima iende makumbusho kama ripoti yake ya kwanza ya shule...

No comments: