Thursday, December 9

Birthday party ya Newton beach


Mdau Newton wa Moro Town alisheherehe birthday yake ya kufikisha miaka 5 Jumapili, ya tarehe 5 December...hii ndio bday party yenyewe ilivyokuwa...

Hapa kapozi na ma'mtu...

...tam tam...

 ...kata keki tuleeee...

...kwanza mom...


...unafanya mchezo na michanga ya bichi...full kuchafuka...

...sweeeet...mama na mwana....Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Junior maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

No comments: