Monday, November 8

Happy birthday Charles


Leo mdau Charles O'neil anatimiza anatimiza mwaka mmoja(1). 

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Charles aka Chas maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana. 

Happy birthday Charles aka Chas...We love you, from dad and mom

2 comments:

Anonymous said...

So cute baby Chas..

Anonymous said...

he is cutie..mwaah