Monday, November 8

Karibu Lyzette-Maureen


Mama na Mwana pamoja na wadau wooote  inamkaribisha mdau mpya, Lynette-Maureen Sayore kwenya playground yetu. Mdau amezaliwa October 13 mwaka huu, tarehe moja na dada mtu Lyzette-Malaika.
Pongezi kwa mama na baba kwa ingizo jipya...ila inabidi mtueleze siri ya hayo majina...

1 comment:

deedee said...

This is u Dorah, Congrat's Lollypop