Sunday, November 28

Happy birthday Tamali

Leo mdau Tamali Mlega anatimiza anatimiza miaka tisa (9).

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Tamali maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana. 

No comments: