Sunday, November 28

Karibu Griffin

Tunamkaribisha mdau mpya mcuuute anaitwa Griffin, now ana miezi minne...

Ma'mtu, Salama anasema; 

 "Jamani how wonderful to be a mother.
Griffin is my Sunshine and the Hope, Nampenda sana na ninamuombea maisha mema na marefu.
 He's now four Months old, namkaribisha sana na ninashukuru kwani kaniingiza Paradise ya u-mama.
 G' Mom loves you forever"

1 comment:

Anonymous said...

jamani Salama.......kweli miaka inaenda. Unakumbuka Namanga Sec enzi hizo? where are you these days?