Friday, December 24

Happy birthday Angela

Leo mdau Angela Sangeda, anatimiza anatimiza miaka mitatu (3).
 
Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Angela maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana. 

No comments: