Friday, December 24

Happy birthday Davis

 
Leo mdau wa mwanzoooo wa blog hii, Davis Mlingi, anatimiza anatimiza miaka mitatu (3).
 
Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Davis maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

1 comment:

joyce macha said...

mungu akubariki mwanangu uwe na afya njema na nidhamu kwa wakubwa na wadogo. LOVE U SON