Saturday, December 25

Merry X-Mas & Happy New Year

 Xchyler kwa niaba ya Mama na Mwana inawatakia wadau woooote Kheri ya sikukuu ya Krismas na Mwaka Mpya Mwema.
 Salam za mdau Griffin: Nawatakia Krismasi njema na heri ya Mwaka mpya wadau wote wa mama na mwana. Tuombeane na tukumbuke kumshukuru Mungu tukijaaliwa kuvuka mwaka. Nawapenda wote.


No comments: