Tuesday, December 28

Happy birthday Junior

Leo mdau Junior J Salala, anatimiza anatimiza miaka sita(6).
 
Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Junior maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.  

No comments: