Monday, December 27

X mas ya 2010 kwetu ilikua njema


...Siku ilianzia church...misa ya kwanza...hapa ndio tumetoka tu toka church...

...then Xchyler akaenda kuhakikisha krismas imewashwa...

 ....Mdau Andre Mwanambuu alikua mmoja wa wageni waliojumuika nasi krismas hii nyumbani kwetu...
 ...BOG SMILES...Kaila na Anti Mariam...

....baada ya lunch, Xchyler aliamua kujipumzisha kwenye kiti cha uvivu...

 ....Andre nadhani alikua na hamu sana ya kuendesha farasi, so tulivyohamia nje akafanya ubunifu kwenye tawi la mti...
....mtoto lazima adeke kwa mama...my big boy na dole lake, anaona rahaaaaa....

 
...kutesa kwa zamu...hapa zamu ya dady...
...tunashkuru sana krismas ilienda vizuri sana...tunasubiri kuuona 2011...

3 comments:

Anonymous said...

hongera mama x nawatakia happy new year

Anonymous said...

asante kwa kunikaribisha mr and mrs sixtus mapunda..kwakweli nilienjoy mno..natumai na mwaka mpya ntakuwa kwenye list ya wageni.

Na Mpangala said...

So lovely mmependeza sana Mbarikiwe sana, naona xmas ilikuwa nnzuri kwenu tumefurahi kuwaona. Nawatakia heri nyingi za mwaka mpya tuombeane afya njema kwa wote. love you !!!!