Sunday, December 12

Happy birthday Nadya

Leo mdau Nadya Haji, anatimiza anatimiza miaka miwili (2).
Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Nadya maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

1 comment:

Anonymous said...

HAPPY BIRTHDAY NADYA.