Thursday, January 6

Happy birthday Brian

Leo mdau Brian Msongo  anatimiza anatimiza miaka miwili (2).
 
Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Brian maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

No comments: