Thursday, January 6

Happy birthday Jasleen

Leo mdau Jasleen anatimiza anatimiza miaka miwili (2).
 
Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Jasleen maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.


 

No comments: