Wednesday, April 13

Birthday ya Nasra ilinogaaaa

 Mdau Nasra Salhina ametimiza miaka mitatu (3), mwezi ulipita, birthday party yake ilifanyika Mambo Club, huko Morogoro, mji kasoro bahari.

 ....cuuuute....


Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Nasra maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.  


No comments: