Monday, April 11

Happy birthday Kelvin

Leo mdau Kelvin Pongo anatimiza anatimiza miaka mitatu (3).
Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Kelvin lvmaisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana. 

1 comment:

Mama Kelvin said...

yap namshukuru Mungu anazidi kunikusia mtoto wangu namuombea baraka zaidi