Tuesday, May 10

Happy birthday Joseph


Leo mdau Joseph Kimono anatimiza anatimiza miaka mitatu (3).
Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Joseph maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana. 

No comments: