Thursday, May 12

Happy birthday Michael

Leo mdau Michael Lazaro anatimiza anatimiza miaka minne (4).
Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Michael maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana. 

4 comments:

emu-three said...

Happy birthday yako Michael!

Anonymous said...

jamani mama X badili hata background iwe na mvuto. iko boring bwana. alaf its time you brought other X into this world si unaona X kakua

Anonymous said...

Happy BD michael. Mama na mwana mama X naomba msaada nielekeze slides and trains za kuchezea watoto kule ulikompeleka X wakati wa BD yake ni wapi?,pls.

Mdau wa mama na mwana

Profee said...

Nimependa sana fonts, contents arrangement ya hii blog bt tupe wadau wako Updates zaidi.
Ukiweza pitia
www.TanzaniaKwetu.com
na if possible jaribu kuisajili blog yako kule jus kuongeza viewers.

Tupo pamoja Mtanzania!