Friday, May 6

Happy birthday Rispa

Leo mdau Rispa Lilian Mlay anatimiza anatimiza miaka miwili (2).
Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Rispa maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana. 

1 comment:

Anonymous said...

Asante mama X kwa niaba ya mdau, nasema asante kwa salamu za birthday, mama Risper