Thursday, April 21

Angel & Charity wanawapa hi!!!!


Angel na mdogo wake Charity wakimchekea baba yao Mika (hayupo pichani) wanawasalimu wadau woooote wa mama na mwana wanasema wanawapenda sana-sana.

No comments: