Thursday, April 21

Happy birthday Samora

Leo mdau Samora Jr Lyakurwa anatimiza anatimiza miaka mitatu (3).
Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Samora maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana. 

1 comment:

lily wa uk said...

happy birthday jr,mungu awe nawe daima