Tuesday, April 19

X birthday party....


....the BIG BOY alikua akisherehekea miaka hiyo hapo!!!!

...tamtam ilikua football field!!!!

...yap, ilikua double birthday...classmate Mackline naye alikua anatimiza miaka mitanooo!

...hii ndio tam tam yake....

 ...which means, double treat kwa darasa zima!!! walifauduuuuu!


...mashkolo mageniiii!!!! 

...candle blowing...mwaka huu hakukuwa na training ya kupuliza!!!


 ....teacher Stella ndio alikua anaweka mambo sawa... thanks teacher.

 ...kata keki tuleeee.....

 ...kwanza walilishana wao...

 then mom...hapo chini kwa niaba ya mama Meck...


...aunt Mariam aliyenipa company naye alipata piece... 

...Kaila analishana na teacher....  ...chum momy...
 then next day, jumamosi ya trh 16, ambayo ndio birthday yenyewe, nilimpeleka kwenye slides n trains....
ali-enjoy sana!!!!...jumapili jioni tulitembelewa na mdau Khloe Mfumu.....


...alitoka Mlimani City, na dady...aliyepiga jersey ya Liverpool yenye jina la mtoto... (soon ntawarushia picha za mdogo wake Khloe)

3 comments:

Anonymous said...

Nimefurahi kumuona mtoto wangu kwenye picha za mwanao, kumbe wako darasa moja, hebu nielekeze ku slide ni wapi nami niwapeleke watoto

Anonymous said...

jamani hata mie nimependa hio sehemu ya ku slide ni wapi nami niwapeleke wanangu?

Anonymous said...

JAMANI MAMA X YANI JINA LA MWANAO LINA SOUND VIZURI LAKINI SPELLING TU NDO KICHAA, YANI NI MAAMUZI YENU LAKINI MTAFANYA MTOTO WAMSHANGAE KILA KONA ATAKAPO ANDIKA JINA LAKE YANI BORA MUANDIKE TU KAILER AU CHYLER HIO X HAPO NDO MANA HATA TICHA KAKOSEA SPELLING YANI NO NO NOOOOOO