Wednesday, February 29

Nimerudi tena!

Yes, am back!
Naomba wadau woooote mniwie radhi kwa kupotea kwa karibu mwaka mzima, ila kiukweli kuna mengi yameendelea hapo kati ndio yakanifanya niwe kimya muda mrefu.

kuna mambo mapya kibao yatawajia, as mnavyoona changes zinazotokea hapo juu, ambazo bado zinashughulikiwa nia ni katika ku-add value kwenye blog yetu hii.

Shukrani kubwa na za kipekee zimwendee Shamim aka Zeze wa 8020 Fashions kwa juhudi zake kubwa kunipa moyo kurudi kwenye gemu...Mungu akubariki sana na uendelee kuwa na roho safi!New Look!

Yap, kuna kitu kinaitwa tabs hapo juu, nia ni kupanga mambo kufuatana na category yake...ndio tunaanza, so ukibonyeza utapata test post ila tutazidi kuongeza vitu kadri siku zinavyoenda. 
Wadau wenye mambo mazuri yanayoendana na category zetu mpya, tafadhali msisite kututumia tu-share na wengine.
I hope you like it!

Endelea kuwa nasi, ili kupata vitu hivyo vipya!

No comments: