Tuesday, March 6

Cleo naye alikua kwenye photoshoot...

Cleo akiwa na ma'mtu Xtina kwenye photoshoot shuleni Kibasila Sec jana mchana...


...Yap, unaweza sema superstars are born, not made ukitaka... Mdau Cleo, amefanya photoshoot kwa ajili ya jarida la Fema. Mtaziona zenyewe zitakazo tumika later... (XTina hebu tupe mchapo ilikuaje kwenye shooting). 

1 comment:

Christine said...

Mwanangu ni msanii tosha tena wa kuzaliwa, alikuwa anapiga pozi kama vile anajua theme ya tukio zima. Hakuogopa kamera na alikuwa anaweka mapozi kama mtu mzima vile.
Pia alikuwa friendly kwa kila mtu hakuniangusha kwani kia aliyekuwa akimsemesha alimchekea as if anamfahamu siku nyingi.
Wanafunzi tuliokuwa nao walikuwa wanamgombea kumbeba huku naye akifurahia kubebwa huku ni kule.
Ninapokuwepo mahali mara nyingi huwa ananililia na kunitaka mimi ndo ni mbebe lakini haikuwa hivyo kwenye photoshoot.

She is really GOOD actress.

Tafadhali tumeni picha za watoto wenu tushee xperience za motherhood.