Friday, March 2

Farida na mashost wake wa ukweliii!

Naitwa Farida, nipo na wanangu hapa, Aaliyah (4yrs) na Abbygirl  (1 yr)

Farida anasema, ni marafiki zangu wa kweli.nawapenda.ndio wanaonipa furaha wakati wote.Nafanyakazi kwa bidii kwa ajili yao.kina mama tusiwatupe watoto wetu.tuwapende.
i luv my princess very much..

No comments: