Monday, March 5

Xyleen is on TV

Hapa walikua kwenye Youth Symposium ya ofisini kwetu (Femina)...
 Watu wawili-watatu wanauliza kama huyo ndio yule wanayemuonaga kwenye Fema TV talk show...yesss, ndio yeye, pale huwa yuko kama Zulu, mtoto wa Bwana Ishi.Fema TV talk show inaonyeswa ITV kila Jumamosi saa 1:30 usiku na Star TV kila Jumatatu saa 3:00 usiku... so kama hujaona Jumamosi ya wiki hii na zingine zilizopita, icheck leo hii...

3 comments:

Mama Aby said...

Your baby is so cute. Naomba unielekeze uliponunua hair band ya mrembo wako.

Anonymous said...

Mama x,mbona hujibu ulichoulizwa na mdau hapo juu?

Anonymous said...

Mama x,mbona hujibu ulichoulizwa na mdau hapo juu?