Wednesday, April 18

Chanjo ya malaria ya watoto yaleta matumaini

Majaribio ya chanjo ya ugonjwa wa malaria yameonyesha mafanikio na hivyo kuleta matumaini kuwa huenda gonjwa hilo sugu linalohatarisha maisha ya mamilioni ya watoto barani Afrika likapatiwa chanjo kwa mara ya kwanza duniani.

Story nzima hii HAPA

No comments: