Tuesday, April 17

Xchyler's school birthday party


Birthday boykama last year, ilikua double birthday...

...huyu anaitwa Nasreen Sham... mdau ana poziii, usipime! Yeye alitimiza miaka mitatu...tamtam yake ilikua cuuuute...


...tamtam ya X ilikua ni Micky Mouse...X anampendaaaa sana Micky...

X anafurahia kuimbia happy birthday...alipendajeee...


Woooooooow: Xchyler anapokea big kiss kutoka kwa mum.Akimlisha mum tam yakee

...kina mama tulikua katika wajibu wetu wa kutekeleza umama wetu...


...X akipuliza mshumaa...thanks mama Nasreen, maana mie nilisahau mshumaa wangu!


...mwanamke poziii... Nasreen alileta pozi hadi kukata keki, ikabidi ticha asaidie kuweka mambo sawa...


...ndio ma'mtu akakubaliwa kuendelea na zoezi...

wamama tuko bizeeee.......keki zikakatwa zikaliwa...

raha ujipe mwenyeweeee

LOVE...

LOVE tena...


love back with a piece of cake!!!

baada ya cake ni gift bags


si mama Nasreen alileta vuvuzela??? balaa lake si mchezooo...kelele shule nzimaa! Ila si utani ilichangamsha party sana!

hadi aliyenuna aliacha pozi..


then tukarudi class...

...birthday girl keshaacha pozi, yeye anapuliza vuvuzela tu!


...hii ndio KG 1 A

hile vuvuzela zikamia darasani....basi balaaa!


'thank you teacher Martha!'

...kwani wamamama tuliridhika basi...tukanasa mlangoni  tunachungulia...


Mwisho wa siku pakawa pachaaaafu.

4 comments:

Anonymous said...

Wow!mama X umekuza kijana kweli, hongera.
Mama JJ(Angela)

Anonymous said...

Shule gani hii nzuri nimeipenda uniform zao!!naomba contact please

Anonymous said...

Jamani mama XX unawezaje ku maitain au ni mwili wako tu hauna shukurani. I just love it, i wish ningeweza kuwa hivo after uzazi

Jiang said...

shule ni Feza Nursery school...