Monday, April 16

Sababu ya kuanzishwa blog hii was born today!

Big boi Xchyler anatimiza miaka minne (4) leo. Yap, bila yeye blog hii isingekuwepo, ningenunua wapi interest na watoto?
Jana tulirusha kajipati home, (picha baadae) ila leo, siku yenyewe ni zamu ya shule. So, kama unaweza karibu Feza Nursery School, Class A ya KG 1 upate keki ya Mickey Mouse!
Happy Birthday my favorite man!!! 

1 comment:

Christine said...

Happy Birthday kaka lao
Xchyler.
Usome eh kwa bidii.
Hongera shosti kwa kukuza.