Friday, April 27

Update ya Rotavirus

Huu ugonjwa kama virus wengi hauna dawa...ila una kinga, ingawa kinga yake haipatikani kwenye kila hospitali. Naambiawa chanjo zipo hospitali za Aga Khan, AMI/Trauma na Premier Care kwa watoto wa miezi miwili na miezi mitatu -- sijui kuhusu watoto wenye umri zaidi ya hapo. Bei ya chanjo ni kuanzia $80, na huwa haziwi covered na insurance policy za kawaida, so ni kuzama mifukoni mwetu.
Natafuta daktari wa serikalini azungumzie mlipuko huu as inaogopesha sana.

 BONYEZA HAPA KUJUA ZAIDI KUHUSU UGONJWA HUU

PS: Sijui kama mtoto Isabella wa Evelyne amefariki kwa ugonjwa huu, as huyo Isabella wa kwenye my previous post ana miaka mitatu, so namini si huyu.

No comments: