Friday, April 27

Malaika Ametutangulia: RIP IsabellaMama na Mwana inasikitika kupokea taarifa za kifo cha mtoto Isabella Benita Bulengo kilichotokea Jumatano, ya tarehe 24/04/2012 katika hospitali ya Aga Khan, Dar es Salaam. Huyu ni mtoto wa mwenye Eve Collection, Evelyne Rugemalila.
Kwa details kuhusu mazishi ya mpendwa huyu, tafadhali ingia humu 8020 kwa Shamim Zeze.Mama na Mwana inawaombea; mama yake na baba yake, ndugu, jamaa na marafiki zake, Mungu awajaalie moyo wa uvumilivu na ujasiri katika kipindi hiki kigumu. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.

No comments: