Friday, April 27

Kwa Aunt hadi Dar Zoo

Nafasi ilikuwa kubwa kwake alijiachia vya kutosha.

Introducing Eugenia Wangwe ni binamu yake na Cleopatra

Elizabeth na Eugenia ni mtu na mdogo wake kwa mama mkubwa na mdogo. 
Wote ni binamu zake na Cleopatra.Three DADAZ.


Na mama Eugenia, Cleo kapozi mwenyewe kwa aunt yake anangoja kulea mtoto lol

Baada ya hapo tukajikusanya hao hadi Dar es Salaam ZOO 
Nilikuwa sijui kama Mbuni ana vidole viwili. Ndo nimejua jana.


 Fisi maji.

 Hapa Simba aliunguruma Eugy alikosa amani kabisa. Hapa kafumba macho asimuone.

 Simba Dume

 Chui

 Eugy na Baba.
 Hapa tulipumzika, tukalishana kisha tukaendelea na safari.

 Nungu nungu
 Chatu
 Cleo hata hajali wala nini, lakini Eugy bado alikuwa anaogopa vibaya.

 Mamba.


                                

 Hapa kwa zizi la Ngamia.


 Mtoto wa Ngamia anapata Tamu yake. Kuwa mtoto ni raha sana

Wamechokaaa


 Tulivyorudi home na Cleo akalala hoi

Eneo ni kubwa sana hatukuweza kutembelea wanyama wooote ila kuna na sehemu ya kuchezea watoto inavutia sana kuna slides za kutosha na mengine mengi sana mazuri ya kupendeza. Ni pazuri mno kwa watoto na hata watu wazima pia.

Pia kuna kupanda Farasi na Ngamia, sisi hatukupanda kwa kuwa muda tayari ulikuwa umekwenda sana.No comments: