Friday, April 27

Cleopatra asherehekea Miaka 48 ya Muungano kwa mara ya kwanza.

Mwenyewe aliamka na mashamshamu eti kwa vile mama alikuwepo.


Alikuwa busy anacheza ila ukimwita kwa ajili ya kupiga picha anageuka anaweka pozi kisha akimaliza anaendelea na shughuli zake.Ilikuwa ni mapozi kwa kwenda mbelee. Hapa aliweka uso wa mbuzi (haina kucheka hapo).


Alivyoona amechoka kwa mapozi akatuchenjia akaanza kulia dada akamweka mgongoni akalala.

Kutaka kujua alipoamka alifanya nini?


Alienda kumsalimia rafiki yake Mohamed.
MO mwenyewe.Wakashow love. Cleo akasepa zake

Baada ya hapo alitoka outing kwenda kwa aunt yake kisha Dar es Salaam Zoo. Stay Tuned kwa picha zaidi.

No comments: