Sunday, March 8

Ethan Siku ya Kwanza

Mtoto Ethan mara baada ya kuzaliwa, hapa bado yuko hospitali.

1 comment:

Anonymous said...

Mtoto ni mzuri na anaonekana atakuwa mtulivu. Kuna jambo nataka kujua, jamani wote tulivyokuwa watoto tulinyonya maziwa kutoka kwa mama zetu na kiuweli kabisa hata mtoto akiwa analia akiliona ziwa la mama anatabasamu nakuacha kulia. swali hivi nani anayekumbuka radha ya maziwa ya mama, yani yana test gani mdomoni, na kwanini mtoto akipewa kunyonya maziwa ya mwanamke mwingine hata kwa kunyunyuzia maji kwenye chuchu ananyonya tu, je watoto hawatambui ladha ya kitu kama ananyonya maziwa ya kweli au ananywesha vijimaji tu.