Monday, May 28

Happy birthday Andre wangu...

My special mdau, Andre Benjamin Mwanambuu anatimiza miaka mitatu (3) leo.

Baba na mama wa ubatizo, me n Six, pamoja na big bro X na lil sis Xy tunakutakia maisha marefu yenye kheri na fanaka...usiwe na vituko kama wa jina wako, Andre Benjamin (Andre 3000) wa Outkast, wamepishana siku moja tu ya b'day, ila uwe na hela kushinda yeye... we love u so much!

Hongera, ma'mtu Hilda Chuma na ba'mtu Benjamin Mwanambuu kwa kukuza... God bless u.


2 comments:

Anonymous said...

huyu mtoto ni mzuri sana, yaani so cuute, natamani, ukifika wakati wa kujifungua Mungu anijalie kupata mtoto wa kiume nawapenda sana. hapa nina pregnt ya miezi kadhaa.

Mdau Avold said...

Picha nzuri.