Thursday, May 10

Happy birthday JustusMdau Justus ametimiza miaka sita (6) jana tarehe 9, May. 
Hapa anamlisha mamie wake Alice Ngubwene


...Tam tam... Birthday boy aki-kata-keki-tule shuleni kwake, Filbert Bayi School, Kimara

No comments: