Thursday, May 10

Newton parent's dayMdau Newton Newton wa Morogoro akijitayarisha kwenda shule....
Hii ilikua ni parent's day ya hapo shuleni kwao. Shule inaitwa Top Star Pre & Primary School, ya mji kasoro bahari, Morogoro.

...mlango school bus anajifungulia mwenyewe...

 ...cuuute......wanacheck ripoti zao wenyewe......boy is cuteee, mama is cuteeeer... Kupendeza muhimu parent's day...

Unashiriki maisha ya shule ya mwanao, unahuthuria parent's days, au unatuma 'dada', au anti/anko?No comments: