Wednesday, May 2

Matokeo ya Form VI 2012 - Ni Marian Girls tena...

Matokeo ya Form VI yashatoka, kama kawaida wadada wa Marian Girls ya Bagamoyo wamewaburuza tena...ntawaupdate top ten baadae kidogo...

Haya hizi hapa...

TOP TEN SCHOOLS:

1. Marian Girls - Pwani
2. Feza Boys - Dar
3. Kisimiri - Arusha
4. Kibaha - Pwani
5. Ilboru - Arusha
6. Mzumbe - Morogoro
7. Msalato - Dodoma
8. Tabora Boys - Tabora
9. St Mary's Mazinde Juu - Tanga
10. Consolata Semonary - Iringa

Top 5 Sayansi: • 1. Fauth Asenge - Marian
 • 2. Zawadi Mdoe - Feza Boys
 • 3. Belnadino Mgimba - Minaki 
 • 4. Janal Juma - Feza Boys
 • 5. Immaculate Mosha - Marian Girls

 • Top 5 Biashara: • 1. Alex Isdor - Kibaha
 • 2. Ephraim Tumwindike - St Joseph's Cathedral
 •  3. Vaileth Mussa - Weruweru
 • 4. Selemani Manyiwa - Kibaha
 • 5. Husein Issa - Azania

 • Top 5 Lugha Art: • 1. Faridi Abdalla - Mpwapwa
 • 2. Jema Rwihura - Weruweru
 • 3. Mariam Hincha - Weruweru
 • 4. Neema Mbandwa - Igawilo
 • 5. Hemedi Hussein - Tosamaganga


 • Ila kupata matokeo yote BOFYA HAPA


  1 comment:

  Anonymous said...

  Yap proud to be msalato alumin big up dadaz history inaendelea...